Pages

Tuesday, October 9, 2012

Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo na kuonyesha gazeti la jambo leo lililokuwa na picha ya wafungwa wakitoa maoni ya katiba mpya huko mbinga akisisitiza umuhimu wa makundi maalumu kupewa haki ya kutoa maoni yao.



No comments:

Post a Comment