October 15, 2012
KWAKHERI VICKY MACHA
Simanzi na uchungu kwa wanahabari
Mlezi wa IPC Salim Abri (kushoto) akiaga mwili wa Vicky Macha leo
Waombolezaji wakiuaga mwili wa marehemu Vicky Macha leo
wanahabari wakifanya juhudi za kumpepelea mwanzao alieanguka kwa mshtuko
mwanahabari Zulfa shomali akiwa ameanguka kwa mshituko
Wananchi na wanahabari wakiwa wameubeba mwili wa marehemu Vicky Macha tayari kwa safari ya kwenda katika gari ili kuondoka kwenda Moshi mkoani Kilimanjaro kwa Mazishi hapo kesho.