Pages

Monday, December 10, 2012

MTOTO WA DARASA LA PILI WA SHULE YA MSINGI MBATA MKOANI MBEYA ALIEFAHAMIKA KWA JINA MOJA LA SHARIFU MWENYE UMRI WA MIAKA 7 AACHIWA MTOTO MCHANGA NA MWANAMKE ASIEFAHAMIKA




Sharifu 7 amesema  alipokua anatoka shule mida ya saa nne asubuhi mama mmoja asiemfahamu alimwita  mama huyo alikuwa amebeba mtoto mchanga ndipo akamwambia sharifu naomba nisaidie kumbeba mwanangu maramoja kwani nimesahau kuchukua kitu fulani nyumbani 

sharifu bila kujua akamchukua mtoto huyo  na mama wa mtoto akaondoka  na kutokomea kusikojulikana sharifu anasema ilipita muda mrefu sana bila ya kumuona tena huyo mama na baadae kichanga hicho kilianza kulia na sharifu kuona mtoto analia nayeye alianza kulia
 
Ndipo akatokea mwanafunzi mwenzie  na kumuuliza sharifu mbona unalia na mtoto analia? sharifu akamjibu mwanafuzi mwenzake kuwa kuna mama kaniachia mtoto toka saa nne mpaka sasa sijamwona nami nimechoka kumbeba ndipo mwanafunzi huyo akamwambia twende tumpeleke kwa walimu
 
Hata hivyo Upendo Mwakipunda mwalimu wa shule ya msingi mbata amekiri kutokea kwa tukio hilo shuleni hapo na kwamba ni kweli walimpokea mtoto huyo na kumpeleka kituo cha polisi 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Monday, November 26, 2012

HUU NDIO MWILI WA SHARO MILLIONEA BAADA YA KUPATWA NA MAUTI REST IN PIECE




SHARO MILLIONEA AFARIKI KATIKA AJALI

AMAKWELI UDONGO UNAFAIDI

Kuna habari za kusikitisha na uhakika kuwa msanii aliyekuwa maarufu kwa jina la Sharo Millionea, msanii wa muziki na maarufu katika kuwepo kwake katika matangazo kwa style ya aina yake amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Tanga.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi